Habar wana jamii forum polen na majukumu leo nimeona nije na hii mada ngumu naomba kwa wenye uzoefu mnipe mbinu na changamoto za hii biashara
Nina mpango wa kufungua kiwanda cha PET BOTTLE RECYCLING kiwanda cha kusaga na kukata chupa za plastic nimeongea na kampuni moja ipo china jina kapuni waniuzie PET BOTTLE CRUSHER set 3 jumla zinagharimu million 12 na site ya kiwanda nimeshapata sasa naombeni kujua mambo yafuatayo
1. Wateja wa hizi plastic zikishakatwa ni kina nan ?
2. Mbinu gan nitumie kupata chupa za plastic au nitumie hawa hawa vijana wanaookota machupa na kujaza kwenye gunia huko mtaan
3. Niajiri wafanyakaz wangapi na majukumu yao yapoje na ikiwezekana mishahara yao niwalipe kiasi gan ?
4. Procesa nzima ya kukata plastics ikoje apa namaanisha kuna haja ya kuziosha plastica kutoa uchafu na maganda kabla ya kuzikausha ndio ziingizwe kwenye mashine au haina haja ya kuzisafisha unaingiza chupa hivo hivo hata km ni chafu
5. Bei za kununua chupa za plastics zikoje nasikia kilo sh 300 na je bei ya kuuza ipoje
6. Changamoto za hii biashara ni zipi ?
7. Vitu gan na gan nitahitaji katika hii biashara
Mashine za crushing nimeshaaagiza kutoka china TOTAL TZS 12000000 najua nikiimport mzigo utaongezwka bei km TZS 20 million
Site nimeshapata pia nimeshaqasiliana na SIDO
Hapa nipo naandaa businesa plan so naomba michango uenu ni nn na nn kitahitajika