Nataka kufungua maabara ya kisasa lengo kuu likiwa kukuza kipato changu na kuwasaidia wagonjwa wanaosota katika foleni za muda mrefu hospital.
Jengo la kuwa maabara lipo katika hatua za mwisho.
Nahitaji ushauri wenu vifaa bora vinavyohitajika kuanzishia hiyo huduma ya maabara na thamani yake ikiwezekana.
Msimamizi wa maabara yupo(ni doctor mstaafu)kanishauri mengi nataka kuyatekeleza ila ushauri wako pia ni muhimu kwangu.