Nataka kufungua maabara ya kisasa, naomba ushauri

kitkat

Member
Joined
May 23, 2014
Posts
16
Reaction score
2
Nataka kufungua maabara ya kisasa lengo kuu likiwa kukuza kipato changu na kuwasaidia wagonjwa wanaosota katika foleni za muda mrefu hospital.

Jengo la kuwa maabara lipo katika hatua za mwisho.

Nahitaji ushauri wenu vifaa bora vinavyohitajika kuanzishia hiyo huduma ya maabara na thamani yake ikiwezekana.

Msimamizi wa maabara yupo(ni doctor mstaafu)kanishauri mengi nataka kuyatekeleza ila ushauri wako pia ni muhimu kwangu.

 

nakushauri uanzshe diagnotic centre weka vitu vingine kama vile xray, na ultra sound scan kama pesa ipo
 
Weka machine za kupima viral load. Tunalzimika kupeleka damu Nairobi na South Africa.
 
Je msimamizi lazima awe MD au laboratory technician
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…