Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
Wakuu natafuta wanasheria mzuri anaeijua kazi yake, ili tufungue kesi dhidi ya shirika la umma TANESCO, kutokana na hasara walionisababishia kwenye biashara yangu ya bucha la samaki wabichi, walikata umeme toka jana asubuh tarehe 14 bila taarifa na hawakurudisha hada saa 2 usiku tena dakika 5 tu wakakata tena hadi leo hii hapa naandika hakuna umeme, nipo Wilaya ya Newala mkoa wa Mtwara.