Nakazia, hazitokosekanakununua pikipiki zilizotumika == hapa utanunua pikipiki za wizi
Ungefupisha na kuandika pikipiki used.Wakuu habari! bila ya kupoteza wakati niende kwenye maada husika wazo langu ni kufungua ofisi ya kuuza na kununua pikipiki amabazo zimeishatumika mtaani(used)
Ili ofisi iwe imekamilika kwa upande vibali ni taratibu zipi napaswa kuzifuata ili kupata vibali na pia ni vibali gani napaswa kuwa navyo?
Mwenye kufahamu hilo naomba anifahamishe. Natanguliza shukrani [emoji120][emoji120][emoji120]
Kununua pikipiki ya wizi maana yake unakuwa umenunua pikipiki ambayo haina nyaraka nadhan nimeeleweka vyemaJifunze kwanza uchunguzi mkali wa piki piki zilizotumika.
Usije ukaenda jela kwa kesi ya uhalifu.
Piki piki zinaibiwa sana. Usije ukauziwa piki piki za wizi
Acha ujuaji nyaraka zinaweza kigushiwa, je unauzoefu wa kutambua nyaraka halali na za kugushi?Kununua pikipiki ya wizi maana yake unakuwa umenunua pikipiki ambayo haina nyaraka nadhan nimeeleweka vyema
Ni upumbavu kiwango cha lami kununua pikipiki isiyo na nyaraka
Wewe una mashine ya kutofautisha kati ya nyaraka feki na halali?maana kuna wezi wana uwezo wa kufoji nyaraka.Kununua pikipiki ya wizi maana yake unakuwa umenunua pikipiki ambayo haina nyaraka nadhan nimeeleweka vyema
Ni upumbavu kiwango cha lami kununua pikipiki isiyo na nyaraka
hello..nielekeze na mimi nikanunueUnao mtaji wa kutosha nikuelekeze kampuni ambayo unaweza kununua PIKI piki used. Hadi ukachoka na pikipiki zao zipo full documents maana ni kampuni inayotambulika na serikali...!