Nataka kufungua pub mbeya

ipyax

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
4,247
Reaction score
6,578
Biashara ya pub mbeya inalipa?
MI kwa sasa nipo UK ila ningependa kufungua pub kule kwetu kwa sababu hapa vifaa ni bei rahisi kama tv kubwa ,music systms nk.
 
Yani emekaa ukawazaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ukaona pub ni tv na mziki.hata bongo hivyo vitu bei rahisi.kaa ujipange isije kua pub jina afu pakawa kama kwa mama ntilie.al the best
 
utafute machangudoa wakudumu wakuvutia biasharalah sivyo no bness
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…