Wakuu kwanza napenda kushukuru uongozi wote wa jamii forum. Nilitaman sana na mimi niwe nachangia mada nyingi tu lakini nilikua nakwama nashindwa kureply
Okay kama mada ilivyojielezea hapo juu.. hii ni baada ya kukaa garage miaka mitatu...baba kanipa kamtaj kangu nifungue duka langu la kuuza spare lkn nashindwa kujua nianze na vitu gani
Natanguliza shukrani zangu
Sent using Jamii Forums mobile app