nilitegemea wakti upo gereji ulifanya utafiti wakutosha kwa hili uliloulizaWakuu kwanza napenda kushukuru uongozi wote wa jamii forum. Nilitaman sana na mimi niwe nachangia mada nyingi tu lakini nilikua nakwama nashindwa kureply
Okay kama mada ilivyojielezea hapo juu.. hii ni baada ya kukaa garage miaka mitatu...baba kanipa kamtaj kangu nifungue duka langu la kuuza spare lkn nashindwa kujua nianze na vitu gani
Natanguliza shukrani zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu kwanza napenda kushukuru uongozi wote wa jamii forum. Nilitaman sana na mimi niwe nachangia mada nyingi tu lakini nilikua nakwama nashindwa kureply
Okay kama mada ilivyojielezea hapo juu.. hii ni baada ya kukaa garage miaka mitatu...baba kanipa kamtaj kangu nifungue duka langu la kuuza spare lkn nashindwa kujua nianze na vitu gani
Natanguliza shukrani zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana.Umekaa gerage miaka 3 alf hujui vifaa gan vinahitajika zaid ???[emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nime-base sanaa kwenye umeme...vitu vya umeme navijua lkn naona ni vichache sanaaaUmekaa gerage miaka 3 alf hujui vifaa gan vinahitajika zaid ???[emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu shukrani sanaaa kwan kdg umenipa mwangaHatari sana.
Lakini kwa faida ya wengine watakaosoma uzi na yeye pia, hii issue inategemea na mtaji.
Uwezi sema hiki na kile kama hujui mtaji.
Kama una chini ya mil 3 anza na duka simpo lenye vifaa vya service kwanza.
1. Oil aina zote kwa wingi
2. Mafuta ya break (break fluids)
3. Filters aina zote
4. Air cleaners
5. Oil pumps
6. Spana na set za spana mbali mbali
7. Coolants
8. Bolts na nut
9. Timing belts
10. fan belts
14. Bulb za aina mbalimbali
15. Fuse aina mbali mbali
N.k
Ukiwa na mtaji zaidi ya mil 3 mpk 10
Ongeza
1. Battery
2. Taa za gari common
3. Bush mbali mbali
4. Rings
5. Bearings
Wadau waendelee kuongezea...
Dumelang