Nataka kufungua store ya mchele Dar, msaada

Nataka kufungua store ya mchele Dar, msaada

musicarlito

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
368
Reaction score
556
Nina mpango wa kufungua store ya mchele Dsm...sipo kwa muda wa miaka 3 ...

Bahati nimefanikiwa kupata mashamba /mkoani Katavi, hivyo source kubwa ningetarajia kwanza iwe kutoka shambani, japo kwa sasa nilitaka niingie na Tone 2 nikiwa na cash Mil.2

Najua mtaji wangu unaweza kuonekana mdogo sana, lakini nilitaka kuwa na mwanzo mzuri/strong starting base point ambayo itaniruhusu kukua kwa uhakika sustainably

Naomba mawazo yenu...nifungue maeneo gani jijini...nahitaji vitu/vifaa gani japo vya msingi kama mizani nafahamu lakini aina gani nzuri kwa mfano...vipi taratibu za vibali kama TRA ...serikali za mitaa nk...lakini wapi pia na vipi naweza ku rely kupata mzigo pale napo pungukiwa?

Nawashukuru sana kwa mawazo yenu na Mungu awabariki mtakao nichangia mawazo na uzoefu

Akhsanteni
 
Mimi pia naplan ya kufanya hii biashara ila mimi ntakuwa nachukulia mzigo tabora......

Ngoja wajuzi waje
 
Back
Top Bottom