elmagnifico na wengine wote kwa kweli nimefurahi na ninashukuru sana kwa mchango wenu, kitu kingine naona watu wengi sana wanatumia Nikon siku hizi, je , inakuwa na ubora zaidi kuliko Canon au ni fasheni tu?tafta printer flan za apson zinauzwa kuanzia laki sita, tafta professional camera canon, tafta computer yenye uwezo wa kutumia adobe photoshop, na tafta location nzuri umtafte designer apambe photo room yako. Kwa hesabu za haraka haraka kwa kuanzia mil 3 zinatosha
Nikon na Canon zote ni camera nzuri tu. Ni kiasi tu cha kujua exactly model ipi utachukua. Mimi nimeisha tumia Canon D50, ni nzuri ingawa sasa kuna models nzuri zaidi. Na sasa natumia Nikon D5000, ni nzuri sana tu! Ni bajeti yako tu. Bei zake hizo ni kati ya $ 800 - 1500.