Kama unataka kugombea Urais,kwanza,lazima uwe na original thinking. Thinking yako lazima iwe unique.
Pia ni lazima uwe na speech writer. Speech writer kazi yake ni kuyapa mabawa mawazo yako,kuyapa magurudumu mawazo yako. Kama ukitaka kusema jambo fulani,na unadhani Winston Churchill alisema jambo kama hilo,ni kazi ya speech writer kwenda kufanya utafiti.
Lazima uwe mcha Mungu,uwe spiritual,kwa sababu ukiwa na spiritual knowledge,hii itakuwa ni ushahidi kwamba Mungu anataka kukupa political power.
Lazima pia uwe na fedha nyingi. Kama unafahamiana na Gavana wa Benki Kuu,hiyo itasaidia.
Lazima uwe mkweli,lazima uongee ukweli,lazima ufahamu tofauti kati ya ukweli na uongo.
Lazima uwe serious,uwe na imani kwamba utashinda. Usifanye mambo kupoteza muda wako na muda wa watu wengine,na kupoteza muda wa Taifa.
Nadhani haya nilyosema yatakusaidia. Ihope to you in the State House in Nov. 2010.