Kipunguni Senior Member Joined Jun 20, 2008 Posts 151 Reaction score 4 Feb 17, 2009 #41 EXAUD J. MAKYAO said: Eti niwe Fisadi? Kwani watanzania wakotayari kumchagua fisadi kuwa rais wao? Click to expand... Mbona ndiyo wanaowachagua siku zote!
EXAUD J. MAKYAO said: Eti niwe Fisadi? Kwani watanzania wakotayari kumchagua fisadi kuwa rais wao? Click to expand... Mbona ndiyo wanaowachagua siku zote!
Exaud J. Makyao JF-Expert Member Joined Nov 30, 2008 Posts 1,518 Reaction score 24 Feb 17, 2009 Thread starter #42 Kipunguni said: Mbona ndiyo wanaowachagua siku zote! Click to expand... Alaa? Hapa kunahitajika ufafanuzi, kwani mimi nazungumzia Tanzania nchi ya amani na mshikamano.
Kipunguni said: Mbona ndiyo wanaowachagua siku zote! Click to expand... Alaa? Hapa kunahitajika ufafanuzi, kwani mimi nazungumzia Tanzania nchi ya amani na mshikamano.
S smak786110 Member Joined Jan 24, 2008 Posts 90 Reaction score 4 Feb 18, 2009 #43 chama gani uta funguwa ?
M Mwan mpambanaji JF-Expert Member Joined Apr 3, 2008 Posts 482 Reaction score 131 Feb 18, 2009 #44 Naona kwanza hujiamini pia huna ajenda,wala maono(vision)cha msingi ungekuja na nini utafanya then ushauriwe na sio bla bla tu
Naona kwanza hujiamini pia huna ajenda,wala maono(vision)cha msingi ungekuja na nini utafanya then ushauriwe na sio bla bla tu