Bima ya gari, ya nyumba, ya afya au ya kitu gani? Kuwa specific zaidi mkuuNipo Jubilee..nataka kuhama kutokana na mienendo ambayo siifurahii hasa kwenye kushughulikia madai. Wadau wapi Kuna unafuu.
Hamia Alliance Insurance, hutojuta.Nipo Jubilee..nataka kuhama kutokana na mienendo ambayo siifurahii hasa kwenye kushughulikia madai. Wadau wapi Kuna unafuu.
Sio kila claim inahitaji Mkaguzi Bob,Ulilipwa bila Mkaguzi kwenda garage?
Labda jamaa atakuwa anasema kachoka kuishi Tabata Bima anataka kuhama hajui haamie wapi?Bima ya gari, ya nyumba, ya afya au ya kitu gani? Kuwa specific zaidi mkuu
Hamia Alliance Insurance, hutojuta.
Niliwahi kupata claim pale, baada ya kukamilisha documents zote zinazotakiwa ndani ya siku 3 nishalipwa tayar
AllianceNamaanisha bima ya Gari. Nipo Jubilee..nataka kuhama kutokana na mienendo ambayo siifurahii hasa kwenye kushughulikia madai. Wadau wapi Kuna unafuu.
Si mseme madai, mbona mnajiumiza na hilo neno claimOkey..claim yako ilikua Ni ya ajali au kitu gani
Bima ya gari, ya nyumba, ya afya au ya kitu gani? Kuwa specific zaidi mkuu