Nataka kuhamia Botswana naomba muongozo

Nataka kuhamia Botswana naomba muongozo

Lameckjr

Senior Member
Joined
Sep 26, 2020
Posts
133
Reaction score
247
Wakuu habari zenu!

Jamani mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nataka kubadilisha mazingira nihamie Botswana 🇧🇼 japo kibishi bishi ,naomba ushauri au connection.

Asante.
 
Karibu Gaborone mkuu ila nliishi kidogo nikahamia Lobatse nimeacha na watoto mapacha [emoji28][emoji28]
Mkuu sasa si wewe ndo unipe connection, nikaribishe PM mkuu tuje tuyajenge
 
Karibu Gaborone mkuu ila nliishi kidogo nikahamia Lobatse nimeacha na watoto mapacha [emoji28][emoji28]
Root ya kwenda huko inachukua mda gani na kiasi gani maana mwaka huu nmepanga lazima nitoke nje ya Tanzania
 
Niliwahi sikia Botswana ni nchi nzuri na maisha mazuri tu ukiwa na taaluma/fani......
 
Utakuwa mzembe sana kuacha damu yako mimi pia nilizaa Africa kusini nikapora mtoto nikatokomea siwezi kuacha damu yangu popote
Sio uzembe mkuu, ninatwngeneza mazingira ya kwenda kuwakwira. Uzuri Abdul Satar Dada nina mtu anafahamiana nae, uhakika
 
Back
Top Bottom