BIG STONE AND CONER STONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 421
- 728
Canada sio manzese! Eti kufungua duka la nguo Canada??? Really?? Nchi za watu kuna shopping mall!Kwa ufupi tu Nataka kwenda Kuanzisha Makazi huko Canada.
Kwa Anayejua Gharama za Maisha huko pls toa tips, Nyumba za kuishi bei zake wapi pako poa , wapi eneo kwenye Amani kwa black kuishi, gharama za chakula.
Pia Nawezaje Kuanzisha duka huko hata languo I'li niasiache asili yangu.
Nimewakilisha.
#kama huwahi kuwa Canada Hebu pita mbali staki bla bla za uwongo.
Nahitaji Tangible / Facts
Mtafute G. Lema au mwanachama wowote yule wa CHADEMA.Kwa ufupi tu Nataka kwenda Kuanzisha Makazi huko Canada.
Kwa Anayejua Gharama za Maisha huko pls toa tips, Nyumba za kuishi bei zake wapi pako poa , wapi eneo kwenye Amani kwa black kuishi, gharama za chakula.
Pia Nawezaje Kuanzisha duka huko hata languo I'li niasiache asili yangu.
Nimewakilisha.
#kama huwahi kuwa Canada Hebu pita mbali staki bla bla za uwongo.
Nahitaji Tangible / Facts
Uamuzi mzuri. Penye Nia Pana njia. Maisha popote. Maisha ya Canada yanahitaji uvumilivu sana, lakini pia hakuna kinachoshindikana. Ni nchi kubwa lakini watu wachache. Uchumi ni mzuri na kazi za kumwaga. Gharama za maisha zinategemea wapi unaenda kuishi, mfano Toronto, Vancouver (Bei ya maisha ghali, haswa bei za nyumba au malazi). Montreal kidogo nafuu. Kufungua biashara unaweza, lakini mpaka utakapopata karatasi za kuishi na kufanya kazi.Kwa ufupi tu Nataka kwenda Kuanzisha Makazi huko Canada.