Mimi ni mwalimu pia na nimeishi kidogo Dar,nakushauri utafute mtu wa kubadilishana naye ili wewe uende Dar.Usiwe na ndoto ya kuhamia Chang'ombe bali ndoto yako iwe ya kuhamia Dar.Shule hizi za mazoezi kama uliyoitaja ni ngumu sana kupata nafasi na huwezi hata kwa dawa kupata