<br /><span style="font-family: century gothic"><font size="3"><font color="#0000CD">Naamini kuna wanaJF walioko Mozambique katika majimbo/maeneo ya PEMBA, CABO DELGADO na NAMPULA, nataka kuhamia na kuanza maisha huko ktk sehemu nilizozitaja, kwa kupiga box au biashara yoyote, naomba mnipe mwongozo jinsi navyoweza ku-resettle huko, requirement muhimu zinazohitajika n.k, nitashukuru kwa mwongozo nitakaoupata.</font></font></span>
Naamini kuna wanaJF walioko Mozambique katika majimbo/maeneo ya PEMBA, CABO DELGADO na NAMPULA, kuna jamaa yangu Mtanzania anataka kuhamia na kuanza maisha huko ktk sehemu nilizozitaja, kwa kupiga box au biashara yoyote, kama kuna wana JF huko au yeyote anayeyajua maeneo hayo, naomba mnipe mwongozo jinsi jamaa atakavyoweza kuhamia na ku-settle huko, mfn requirement muhimu zinazohitajika n.k, nitashukuru kwa mwongozo nitakaoupata.
<br />
<br />
NiPM kama umedhamiria.
mkuu ulifanikiwaMkuu, na wewe bado uko Mozambique? kama ndiyo nieleze uko maeneo gani kuna kitu nataka tuongee.