Nataka kuifahamu ratiba ya vipindi vya TBC1

Nataka kuifahamu ratiba ya vipindi vya TBC1

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
491
Reaction score
180
natafuta ratiba ya vipindi vya tbc1 nimejaribu kufungua wesite yao sioni kwa anaejua jinsi ya kuipata
 
Kama unatumia startime ni rahisi kuvipata kama hauna sema nta copy na ku paste hapa
 
natafuta ratiba ya vipindi vya tbc1 nimejaribu kufungua wesite yao sioni kwa anaejua jinsi ya kuipata

Taasisi nyingi zinaanzisha webite/ Tovuti kama kufuata mkumbo tu. Hawaweki taarifa watu wanazihitaji kuona kwenye hizo tovuti zao. TBC ni mfano mmoja wao.Mbaya zaidi ni chombo cha habari.
 
Back
Top Bottom