Fatma Bawazir JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 491 Reaction score 180 May 5, 2011 #1 natafuta ratiba ya vipindi vya tbc1 nimejaribu kufungua wesite yao sioni kwa anaejua jinsi ya kuipata
natafuta ratiba ya vipindi vya tbc1 nimejaribu kufungua wesite yao sioni kwa anaejua jinsi ya kuipata
Masika JF-Expert Member Joined Sep 18, 2009 Posts 723 Reaction score 30 May 6, 2011 #3 Kama unatumia startime ni rahisi kuvipata kama hauna sema nta copy na ku paste hapa
Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,440 May 8, 2011 #4 Fatma Bawazir said: natafuta ratiba ya vipindi vya tbc1 nimejaribu kufungua wesite yao sioni kwa anaejua jinsi ya kuipata Click to expand... Taasisi nyingi zinaanzisha webite/ Tovuti kama kufuata mkumbo tu. Hawaweki taarifa watu wanazihitaji kuona kwenye hizo tovuti zao. TBC ni mfano mmoja wao.Mbaya zaidi ni chombo cha habari.
Fatma Bawazir said: natafuta ratiba ya vipindi vya tbc1 nimejaribu kufungua wesite yao sioni kwa anaejua jinsi ya kuipata Click to expand... Taasisi nyingi zinaanzisha webite/ Tovuti kama kufuata mkumbo tu. Hawaweki taarifa watu wanazihitaji kuona kwenye hizo tovuti zao. TBC ni mfano mmoja wao.Mbaya zaidi ni chombo cha habari.