Nataka kuijua Vizuri wilaya ya Nachingwea

mkadiriaji majenzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2023
Posts
260
Reaction score
569
Habarini wana Jamvi,

Nina ratiba ya kwenda Wilaya ya Nachingwea kwa Kazi ya miaka kama miwili.

Kwa wanayoijua vizuri naomba experience yenu kuhusu hii wilaya kuhusu fursa zilizopo, Aina ya maisha ya pale, Gharama za maisha kama malazi na chakula,sehemu nzuri za kupumzika weekend na kucheki game Za team yangu ya Simba lunyasi na Man utd, Huduma za mawasiliano n.k.

Karibuni sana
 
Uko nachingwea sehemu gani ?

Natumai umeona maisha yalivyo.
 
Iliwahi kutajwa humu miongoni mwa wilaya/ maeneo yenye vumbi/udongo mwekundu..huko wanaita Ngunja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…