Mimi nataka kuingia mwenye biashara ya vitenge niwe nafata mzigo Kariakoo then naenda kuuza mikoani. Kwa ambaye anauzoefu kuhusu biashara anambie challenges za hii biashara.
Ila cha msingi angalia watu wako wana uhitaji gani? Je wana njaa ya tumbo na wanajimudu kununua vitenge? Maana sasa hivi watu wengi wananjaa ya tumbo na sio material