cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Jamani nataka kuyaweka maisha yangu kizungu hasa kwenye upande wa chakula aya naombeni menu ya siku nzima.
Menu ya kizungu.mfano chips,mayai pembeni na waini ,aya menu nyingine ya kizungu jamani hapa kwangu sitaki kula kula ugali.