Nataka kuivaa suruali niliyoiacha kwa miaka 10

Nataka kuivaa suruali niliyoiacha kwa miaka 10

tonylast

Member
Joined
Jun 26, 2019
Posts
70
Reaction score
47
Habarin wana jamvi la mitindo na utanashati.

Baada ya miaka10, nimekutana na suruali yangu aina ya dickies..suruali niliyohifadhi katika bag la nguo ambazo hazitumik kwa muda mrefu sanaaaa leo nmeiona tena.

Lakin cha ajabu suruali hiyo bado inanitosha kama zamani sasa nmeifua na kuipiga pasi. Itaendelea na Matumizi kama kawaida [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom