Nataka kuivaa suruali niliyoiacha kwa miaka 10

tonylast

Member
Joined
Jun 26, 2019
Posts
70
Reaction score
47
Habarin wana jamvi la mitindo na utanashati.

Baada ya miaka10, nimekutana na suruali yangu aina ya dickies..suruali niliyohifadhi katika bag la nguo ambazo hazitumik kwa muda mrefu sanaaaa leo nmeiona tena.

Lakin cha ajabu suruali hiyo bado inanitosha kama zamani sasa nmeifua na kuipiga pasi. Itaendelea na Matumizi kama kawaida [emoji16][emoji16]
 
Weka picha Kama huiweki tuache sisi tule bia..kula bia wanangu kuleni bia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…