Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 560
Tafuta helaHabari za jion wakuu nataka kuongeza uzito kidogo na mwili maana ni mwembamba sana tena upande wa mikono nina kilo 65 msaada wenu supploment ipi nzuri kwa kuongeza body maana kama msosi napiga sana lakini wapi
Msaada wenu hapo wakuu
Elewa tofauti ya kitambi na lean body
Hawa members wapya wanauliza kila kitu huwezi jua kipi yupo serious nacho na kipi anatania.Nnaowajua wanatumia wheiy protein, ila nadhani ni vizuri upige mazoezi sana lakini zingatia msosi sana sababu mazoezi ni asilimia 30 na msosi ni 70. Binafsi nili shoot from 65 to 80 kwa kula sana na mazoezi kiasi, motivation ilikua uzi wa Castr ambao ni wa zamani kidogo.
Nenda GYM iliyo karibu.Elewa tofauti ya kitambi na lean body
Kwaajili ya nini?Nenda GYM iliyo karibu.
Ni sawa na kumwambia jenerali ajifunze kupiga kwata au salutiNenda GYM iliyo karibu.
Hela ninazo mbona [emoji41]
Habari za jion wakuu nataka kuongeza uzito kidogo na mwili maana ni mwembamba sana tena upande wa mikono nina kilo 65 msaada wenu supploment ipi nzuri kwa kuongeza body maana kama msosi napiga sana lakini wapi
Msaada wenu hapo wakuu
Nnaowajua wanatumia wheiy protein, ila nadhani ni vizuri upige mazoezi sana lakini zingatia msosi sana sababu mazoezi ni asilimia 30 na msosi ni 70. Binafsi nili shoot from 65 to 80 kwa kula sana na mazoezi kiasi, motivation ilikua uzi wa Castr ambao ni wa zamani kidogo.
Doh tatizo mikono membamba mzee yaan kuanzia kwenye kiwiliwili fresh ila paja nimejitaidi kulikata balaaUna 65kg unalalamika. Mimi nina 58 maybe sasa 59 na nimetulia kabisa. Gym nililipia nikaenda wiki moja, nikalipia tena nikaenda wiki moja. Kula ni mlo mmoja daily kwa miaka minne sasa, nikila mchana usiku siisi njaa hivo inabidi nile usiku zaidi. Kuongeza uzito kwa kula na mazoezi nimeshindwa ngoja nisome hizi supplements.
Lakini kwa ushauri tumia hii... Ni nzuri hata kwa bei piaView attachment 1786242