Nataka Kujenga Hotel Lushoto-Tanga -Usambara, Nitapataje Kiwanja

Nataka Kujenga Hotel Lushoto-Tanga -Usambara, Nitapataje Kiwanja

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,957
Reaction score
3,245
Ndugu Wana Jamii forums.

Natafuta Kiwanja cha kujenga Hotel huko Lushoto -Usambara Tanga.

Nataka kujenga Hotel kubwa ya Kitalii pamoja na Eco Tourism.

Naomba Ushauri, nitawasiliana na nani ili niweze kupata Kiwanja.

Nimewaandikia TIC siku 4 zilizopita bado sijapata majibu
 
unataka tukusaidie ku identify kiwanja? au umesha identify tukusaidie jinsi ya kununua? labda mimi sijakuelewa baba.
 
Kaka kama wataka kiwanja na unanafasi ya kufika huko ni bora uende mwenyewe ukatafute kuliko kuagizia watu wakutafutie utauziwa eneo la makaburi bureeee
 
Ndugu Wana Jamii forums.

Natafuta Kiwanja cha kujenga Hotel huko Lushoto -Usambara Tanga.

Nataka kujenga Hotel kubwa ya Kitalii pamoja na Eco Tourism.

Naomba Ushauri, nitawasiliana na nani ili niweze kupata Kiwanja.

Nimewaandikia TIC siku 4 zilizopita bado sijapata majibu

Check your PM
 
Check your PM

Tuwasiliane nitakupa ushauri mzuri,nilikuwa kule lushoto nikifanya kazi kwa miezi 2,nikuzuri kwa hali ya hewa na biashara ya utalii,wazungu wengi wanapenda kutembelea lushoto
 
Hi mkuu ni wazo zuri, kwanza hongera kwa kutaka kuwa muwekezaji wa ndani. Ila tahadhari humu tumechanganyika waweza ingizwa mjini ukakosa pa kulilia.

My advice: Is better you go physically to the place and talk to local people first, then when you get the idea that sounds like what you are looking for, it should be the time to find legal advisory.

I wish you all the best.
 
Ndugu Wana Jamii forums.

Natafuta Kiwanja cha kujenga Hotel huko Lushoto -Usambara Tanga.

Nataka kujenga Hotel kubwa ya Kitalii pamoja na Eco Tourism.

Naomba Ushauri, nitawasiliana na nani ili niweze kupata Kiwanja.

Nimewaandikia TIC siku 4 zilizopita bado sijapata majibu

Niwazo nzuri tena saana, kwani ni sector inayokuwa na inafaida kama utaifanya professionally. Chakwanza kabisa ungefanya survey ya hilo eneo kwanza ungeweza kwenda hata na mtaalamu moja angekushauri vizuri kwani kwenye hospitality kuna kitu tunakiita hotel inakuwa determined na location sio kila eneo unaweza kujenga hotel kwani position ni kitu cha muhimu saana especially in marketing

pili ukifika na kuona eneo ambalo ni nzuri onana na watawala wa hilo eneo, nakushauri anzia ngazi ya kijiji then wilaya,mkoa na malizia na wizara ya maliasili na utalii.

ukiwasiliana na wizara ya Maliasili na utalii directorate of tourism kuna maeneo mabalimbali ambayo naamini wameshayaoanisha kwa ajili ya investment za mahotel kwa mkoa wa Tanga unaweza pata maelezo ya kina wapo vijana waazuri tu kwenye idara ya tourism development wanaweza kukupa taarifa za kina kuhusu hilo eneo unalotaka kuweza

kwa maswala ya vibali unaweza kwenda TIC hao watakurahisishia kupata vibali husika kwa ajili ya kufanikisha hilo lengo lako jema, ukitaka contact za individuals i mean wataalamu wa utalii wa wizara unaweza ni Pm i can assist for that

mwisho naupongeza saana mtanzania mwenzangu kwa wazo lako zuri kwani hutafaidika wewe peke yako naamini wanajumuia wa usambara watanifaika saana kwa uwepo wa hotel unayotaka kujenga
 
Back
Top Bottom