Nataka kujiendeleza

Nataka kujiendeleza

dibundile

Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
92
Reaction score
13
Habari wana JF?

Wadau mimi ni advanced diploma holder in accountancy, sasa nataka kwenda kusoma masters degree kati ya IFM na Mzumbe University na ni masters ya MBA sasa wadau naombeni ushauri niende chuo kipi?
 
Mkuu kumbe ukiwa na Advanced diploma kwa Mzumbe na IFM unasoma masters, mi najua kwa Udsm na Udom hadi usome postgraduate diploma ndo unaruhusiwa kufanya masters
 
mkuu kumbe ukiwa na advanced diploma kwa mzumbe na ifm unasoma masters, mi najua kwa udsm na udom hadi usome postgraduate diploma ndo unaruhusiwa kufanya masters

mzumbe na ifm unasoma ila uwe na atleast second class
 
Back
Top Bottom