Wadau mimi ni advanced diploma holder in accountancy, sasa nataka kwenda kusoma masters degree kati ya IFM na Mzumbe University na ni masters ya MBA sasa wadau naombeni ushauri niende chuo kipi?
Mkuu kumbe ukiwa na Advanced diploma kwa Mzumbe na IFM unasoma masters, mi najua kwa Udsm na Udom hadi usome postgraduate diploma ndo unaruhusiwa kufanya masters
mkuu kumbe ukiwa na advanced diploma kwa mzumbe na ifm unasoma masters, mi najua kwa udsm na udom hadi usome postgraduate diploma ndo unaruhusiwa kufanya masters