Nataka kujifunza Kilingala

Nataka kujifunza Kilingala

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,580
Reaction score
1,987
Nawasalimu wote.
Nimekuwa mpenzi mno wa nyimbo za kilingala za wenzetu wa Congo. Imefika mahali sasa nataka kuyaelewa mashairi yao. Naomba kuna mtu mwelewa wa lugha hii au anaweza kunoelekeza mahali nikajifunze.
Natanguliza shukrani.
 
Kaonane na babu seya
 
ngai ....mimi/ wewe

yanga ...kitu

biso ...sisi

bino ...nyinyi

bango ...wao

nazali ...mimi

ozali ...wewe ni

azali ...yeye

tozali ...tuna

bozali ...wote mna

bazali ...wao wana

Loba! ...ongea

Toloba!...wacha tuongee

Koloba te! ....usiongee!!!

Yaka! come! .....kuja/ njoo

Koya te! ....usije

kozala ...kuwa

kozala na ...kuwa na

kozoma ...kupata

gamba ...shetani
 
Earthmover nakushukuru sana, endeleza tuition....
 
Nakumbuka back in the 80s gazeti la SANI lilikuwa linachapa makala za kufundisha Kilingala ili watu waweze kufuatilia nyimbo.

Mpaka leo nakumbuka baadhi ya maneno.

Sango nini?

Sango na ndako yayo?

Kuna siku nilitaka kujua mashairi ya "Mario" yana maana gani, nikapata hii page ambayo ina tafsiri ya kiingereza.

Franco Luambo : Mario Lyrics, words, translation
 
haya ni baadh ya matamsh yanayonifurahishaga

Batoto - watoto

Batanzania - watanzania

kuya hapa - kuja hapa.
 
Back
Top Bottom