Asante......... Hongea
Karibu..........Kaibu/Keibu
Habari ya asubuhi.........Onga Mahundo
Salamu ya mchana.........Onga mshi
Jioni...............
Chakula ..........Ng’hande
Nk
Jitahidini kjandika maana ya haya maneno kwa kisambaa sio kama mnavyofanya.