Mwana wa Mungu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2008
- 1,003
- 85
no data about dar and italiano! but you can start learning online! there are so many resourses for learning any language! 65% guaranteed!Wakubwa, nimesumbuka sana kuongea na wataliano kwenye makampuni yangu ya utalii hapa Arusha. kwa sasa nimehamia hapa bongo ya Daslam. nataka kusoma kitaliano kidogo, naombeni ushauri, ni sehemu gani bora kuliko zote naweza kujifunza kitaliano walau kwa miezi mitatu hivi. nashukuru wakubwa. Mungu awabariki.
no data about dar and italiano! But you can start learning online! There are so many resourses for learning any language! 65% guaranteed!
Wakubwa, nimesumbuka sana kuongea na wataliano kwenye makampuni yangu ya utalii hapa Arusha. kwa sasa nimehamia hapa bongo ya Daslam. nataka kusoma kitaliano kidogo, naombeni ushauri, ni sehemu gani bora kuliko zote naweza kujifunza kitaliano walau kwa miezi mitatu hivi. nashukuru wakubwa. Mungu awabariki.