Nataka Kujifunza lugha hizi nianze na Ipi?

Nataka Kujifunza lugha hizi nianze na Ipi?

FOdd

Senior Member
Joined
Sep 17, 2017
Posts
127
Reaction score
173
Wakuu natamani kujua Lugha nyingi sana Mpaka sasa natamani kujifunza Kifaransa, Kirusi na Kichina je Nianze na lugha ipi ambayo ni Simple kumaster?
 
Kama unajua spanish nenda na kifaransa... Ila ungekua mfanyabiashara na una nia ya kusafiri hasa kwenda china kichina kingekufaa...
 
Anza na kifaransa Halafu Kichina ndio malizia na Kirashia. Nakumbuka nilikuwa nakimwaga kifaransa hatareee kuishi nchi tofauti tofauti duniani raha sana.
 
Back
Top Bottom