FOdd Senior Member Joined Sep 17, 2017 Posts 127 Reaction score 173 Oct 7, 2017 #1 Wakuu natamani kujua Lugha nyingi sana Mpaka sasa natamani kujifunza Kifaransa, Kirusi na Kichina je Nianze na lugha ipi ambayo ni Simple kumaster?
Wakuu natamani kujua Lugha nyingi sana Mpaka sasa natamani kujifunza Kifaransa, Kirusi na Kichina je Nianze na lugha ipi ambayo ni Simple kumaster?
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 Oct 7, 2017 #2 Kama unajua spanish nenda na kifaransa... Ila ungekua mfanyabiashara na una nia ya kusafiri hasa kwenda china kichina kingekufaa...
Kama unajua spanish nenda na kifaransa... Ila ungekua mfanyabiashara na una nia ya kusafiri hasa kwenda china kichina kingekufaa...
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,174 Oct 7, 2017 #3 Anza na kifaransa Halafu Kichina ndio malizia na Kirashia. Nakumbuka nilikuwa nakimwaga kifaransa hatareee kuishi nchi tofauti tofauti duniani raha sana.
Anza na kifaransa Halafu Kichina ndio malizia na Kirashia. Nakumbuka nilikuwa nakimwaga kifaransa hatareee kuishi nchi tofauti tofauti duniani raha sana.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Oct 8, 2017 #4 FOdd said: Wakuu natamani kujua Lugha nyingi sana Mpaka sasa natamani kujifunza Kifaransa, Kirusi na Kichina je Nianze na lugha ipi ambayo ni Simple kumaster? Click to expand... ukipata darasa zuri mkuu unishtue
FOdd said: Wakuu natamani kujua Lugha nyingi sana Mpaka sasa natamani kujifunza Kifaransa, Kirusi na Kichina je Nianze na lugha ipi ambayo ni Simple kumaster? Click to expand... ukipata darasa zuri mkuu unishtue