Nataka kujifunza mapambano niwaoneshe...

Kichenza

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2018
Posts
222
Reaction score
243
Kuna wapangaji wenzangu hapa nilipopanga sijui wananichukuliaje, utakuta sometime ni zamu zao katika usafi lakiini chaajabu naambiwa ni mimi ndo wakufanya usafi wakati nimetoka kufanya usafi jana yake tu.. Pia kuna watu wengine kwenye zamu zao sijawahi ona hata siku moja wakigusa fagio au mopa lakini ikikaribia au kufika zamu yangu utaskia "kijana make sure mazingira yanapendeza"... Sasa basi nilichoamua mimi naenda kujifunza ngumi au unaweza ita kifinyo mana hizi ni dharau na kejeli yaani mpangaji yeyote akinipanda kichwani napiga nyumba Nzima..
 
Anza na ii
officiltitus-20181027-0001.jpeg
 
Wale wanawake wanaofanyaga mapenzi kwa mara ya kwanza huwa wanaziba uso kama ulivyofanya kwenye hiyo avatar yako wakati wa kuchojolewa nguo.
 
Back
Top Bottom