Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishtue wakikupaHabari zenu wakuu,
Mwenye anajua website ambayo nitaweza kujifunza na kuielewa hii software naomba anisaidie nataka sana niijue kiundani
Mimi nataka za warehouse management na transport/supply chain managementErp si software bali ni aina za software kirefu chake ni Enterprise resource planning.
Zipo za uhasibu, za kumanage bidhaa, za human resource etc. Kifupi yapo maelfu.
Na kikawaida open source (za bure) huwa ni ngumu sana kujifunza na za kulipia huwa ni rahisi.
Ungekuwa specific zaidi.
Ukitaka urahisi wa bei erpnext ama odoo, unadownload unahost mwenyewe ila kama nilivyosema huko juu jiandae kwa learning curve ya Maana.Mimi nataka za warehouse management na transport/supply chain management