Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Naongea Lugha mbili ambazo almost kila mtu wa EA anaongea (Swahili and English)
Ningetamani kujua Lugha hii ya wenzetu kama lugha ya tatu, Maana naikubali na nimefuatilia inaongelewa na nchi zaid ya 20, besides hata siku nkitembelea Barcelona niweze hata kuagiza maji restaurant[emoji28]. Nshaanza hatua kidogo zile basics online kujifunza alphabet n.k
Ila kama kuna mtu ana ushauri wowote wa jinsi ya kuimaster hii lugha kiurahisi zaidi nawakaribisha..uwanja wenu
Ahsante