james bendui
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 717
- 744
Sikushauri itadidimia yote na hutapata kituWakuu
Pamoja na wadau mbalimbali ushauri wenu nataka kujiingiza kwenye hii kazi ya uchimbaji dhahabu mtaji nina Milioni 5
Location bado sijafikiria sana ila nimewaza nitatafute mashine ndogo ya kuditect dhahabu and then nianza kuzunguka makorongoni kusaka dhahabu baada ya hapo ndio nijiingize sasa kati ya Chunya au Geita
Nilitaka nimshauri hivi hivi ni kama ulikua kwenye akili yangu aisee...Mkuu,Kwa kiwango hicho cha Pesa tubadilishe title kwamba unataka Kujihusisha na Ufukiaji Mdogo wa Pesa zako .Kuna Njia Mbili za kuingia kwenye Biashara ya Madini.Njia ya Kwanza ni kuingia Bila Mtaji yaani Nguvu yako na Jitihada na Connection na Bahati kisha sasa utokee humo humo au Uingie ukiwa na Mtaji unaotosha ili ukiuchimbia chini basi usife.
Milioni 5 kwenye Biashara ya Uchimbaji ni Pesa Ndogo sana.Ila sasa kama kweli unataka kwenda basi nenda nayo hiyo kama Nauli maeneo ya migodi ambayo yanaibuka kama Geita kuna maeneo nasikia ndo yanachangamka au nenda Singida au Mpanda au Tanga au Hata Mtwara.Hiyo iwe nauli yako.Ukifika Kule Hakikisha Unatafu Sururu na Beleshi na unakuwa karibu na watu ili uaminike uweze ama kuzama chini au kupokea mzigo Juu na Kusaga kwenye watu wenye Makarasha.Lengo lako lisiwe PESA bali liwe kupata uzoefu na kukuza Mtaji.
Kawaida Biashara ya Madini ili ufanikiwe ni lazima uwe tayari kufilisika au uende kule ukiwa tayari umefilisika.Sasa kwa Hii Milioni 5 yako wewe umefilisika so unaweza enda kule kujitafuta.Haa Hivyo kwa mtaji huo huo unaweza kwenda kwenye yale Maeneo ukaamua kuwekeza kwenye Biashara zinazosupport wachimbaji kama vile huduma za chakula,vinywaji etc.Kisha sasamengine utajifunza ukiwa huko huko
Kuna watu wanakatishana tamaa sana either yeye alishawahi kuskia tu kwamba biashara ya madini inahitaji mtak mkubwa kumbe sio kwel watu wanaanza mpaka na 1M sembuse 5M.Mkuu,Kwa kiwango hicho cha Pesa tubadilishe title kwamba unataka Kujihusisha na Ufukiaji Mdogo wa Pesa zako .Kuna Njia Mbili za kuingia kwenye Biashara ya Madini.Njia ya Kwanza ni kuingia Bila Mtaji yaani Nguvu yako na Jitihada na Connection na Bahati kisha sasa utokee humo humo au Uingie ukiwa na Mtaji unaotosha ili ukiuchimbia chini basi usife.
Milioni 5 kwenye Biashara ya Uchimbaji ni Pesa Ndogo sana.Ila sasa kama kweli unataka kwenda basi nenda nayo hiyo kama Nauli maeneo ya migodi ambayo yanaibuka kama Geita kuna maeneo nasikia ndo yanachangamka au nenda Singida au Mpanda au Tanga au Hata Mtwara.Hiyo iwe nauli yako.Ukifika Kule Hakikisha Unatafu Sururu na Beleshi na unakuwa karibu na watu ili uaminike uweze ama kuzama chini au kupokea mzigo Juu na Kusaga kwenye watu wenye Makarasha.Lengo lako lisiwe PESA bali liwe kupata uzoefu na kukuza Mtaji.
Kawaida Biashara ya Madini ili ufanikiwe ni lazima uwe tayari kufilisika au uende kule ukiwa tayari umefilisika.Sasa kwa Hii Milioni 5 yako wewe umefilisika so unaweza enda kule kujitafuta.Haa Hivyo kwa mtaji huo huo unaweza kwenda kwenye yale Maeneo ukaamua kuwekeza kwenye Biashara zinazosupport wachimbaji kama vile huduma za chakula,vinywaji etc.Kisha sasamengine utajifunza ukiwa huko huko
Million 5 ni nyingi kama akijihusisha na uchimbaji wa dhahabu kwa style ya "Kusekesa na Kupiga makarai".Kuna watu wanakatishana tamaa sana either yeye alishawahi kuskia tu kwamba biashara ya madini inahitaji mtak mkubwa kumbe sio kwel watu wanaanza mpaka na 1M sembuse 5M.
Ukigundua binadamu tunatabia ya kukatisha tamaa ata ukiamka unagawa pesa kila mji bado 2 watakusema. Hivyo chochote kile kinachoanzia kwenye wazo tayari unacho ila inahitajika juhudi zaidi kuweza kukitoa nje na kuanza kukifanyia kazi.
You can win.Wakuu
Pamoja na wadau mbalimbali ushauri wenu nataka kujiingiza kwenye hii kazi ya uchimbaji dhahabu mtaji nina Milioni 5
Location bado sijafikiria sana ila nimewaza nitatafute mashine ndogo ya kuditect dhahabu and then nianza kuzunguka makorongoni kusaka dhahabu baada ya hapo ndio nijiingize sasa kati ya Chunya au Geita
Ongezea ongezea zifike milioni 20 hapo unaweza kufanya uchimbaji wa dhahabu vizuri kabisa.Wakuu
Pamoja na wadau mbalimbali ushauri wenu nataka kujiingiza kwenye hii kazi ya uchimbaji dhahabu mtaji nina Milioni 5
Location bado sijafikiria sana ila nimewaza nitatafute mashine ndogo ya kuditect dhahabu and then nianza kuzunguka makorongoni kusaka dhahabu baada ya hapo ndio nijiingize sasa kati ya Chunya au Geita
Mm kaka angu alianza na mil2 mpaka sasa ana plant . Ni kuwa smart tuMasokotz umetoa ushauri mujarabu kabisa, mwamba aishi humo, hyo 5m kwenye uchumbaji ni kama mia tano tu, hzo detector anazosema ni takataka wala hasijaribu kununua.