madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 862
Nishajipiga na hapa pia ninazo ndio nimeanza mapema lakini badoendelea kugida tu utaelewa muda ukifika.
Nataka kujua ule muda wa kujijua umelewa sasaMkuu kula chakula chepesi Alaf kunywa vodka, whiskey utaelewa au kunywa konyagi local gin utaelewa tuu
Nahitaji kujua starehe ya kulewaUkiamkia kwenye mtaro
Ndo Utakua umelewa
Fuata Maelezo ya juu utaelewa tuuNataka kujua ule muda wa kujijua umelewa sasa
Mimi huanza na Brandy ya Valuer chupa ndogo naimeza yote hapo hapo, kisha natiririka na Balimi 2 au 3. Kila siku iendayo kwa Mungu elfu 15 lazima initoke (bajeti ya kulewa).Mkuu kula chakula chepesi Alaf kunywa vodka, whiskey utaelewa au kunywa konyagi local gin utaelewa tuu
Mimi huanza na Brandy ya Valuer chupa ndogo naimeza yote hapo hapo, kisha natiririka na Balimi 2 au 3. Kila siku iendayo kwa Mungu elfu 15 lazima initoke (bajeti ya kulewa).
Starehe ya kulwa: unasahau matatizo yako, stress inakimbia kama vile imefumaniwa, unaweza kumdai mdeni wako na akakulipa hapo hapo, kama kulikuwa na jambo unashindwa kulifanyia maamuzi, utalitafakari kwa dk 5 na kufanya maamuzi sahihi kabisa yaliojaa ujasiri. n.k.Nahitaji kujua starehe ya kulewa
Jumapili njema
Ni wiki ya pili tangu nimeanza kujipiga balimi lakini sielewi kwanini silewi kama wenzangu na siyumbi,sasa nataka kujua ukilewa unajuaje kama tayari goma limekolea mimi naona kupata hasara tu na kukojoa kwing
Wataalumu mnijuze
kwa awamu hii ya Magufuli ukisema pesa ndogo hiyo watu watakucheka.huenda wewe ni mwanafunzi unajifunza!mbona pesa ndogo san hyo mkuu ?
kama hali ni hii sitaki kulewa