Nataka kujikita katika shughuli za ufyatuaji matofali ya Block kibiashara, naomba uzoefu

Nataka kujikita katika shughuli za ufyatuaji matofali ya Block kibiashara, naomba uzoefu

Kimemeta

Senior Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
181
Reaction score
234
Wakuu za jumamosi. Tuzidi kuomba Amani Ulaya Mashariki

Nataka kujikita katika shughuli za ufyatuaji matofali ya Block kibiashara. Kabla naomba kupata uzoefu kdg. Aina na gharama ya mashine nzuri za kufyatulia, maeneo mazuri ya kufungulia biashara hiyo, usimamizi wake ukoje, faida na hasara zake, pamoja na changamoto nyingine zinazoambatana na biashara hiyo.

Nashukuruni sana
 
Wakuu za jumamosi.Tuzidi kuomba Amani Ulaya Mashariki

Nataka kujikita katika shughuli za ufyatuaji matofali ya Block kibiashara.Kabla naomba kupata uzoefu kdg.Aina na gharama ya mashine nzuri za kufyatulia, maeneo mazuri ya kufungulia biashara hiyo,usimamizi wake ukoje,faida na hasara zake,pamoja na changamoto nyingine zinazoambatana na biashara hiyo.

Nashukuruni sana
hii biashara imeshajaa kila kona ya jiji na watu wenye mitaji mikubwa..

utajikuta uko bihawana na kigwe huko..
 
Back
Top Bottom