Dodoma
Nione PM
unataka kumuuzia nini?Nione PM
hii biashara imeshajaa kila kona ya jiji na watu wenye mitaji mikubwa..Wakuu za jumamosi.Tuzidi kuomba Amani Ulaya Mashariki
Nataka kujikita katika shughuli za ufyatuaji matofali ya Block kibiashara.Kabla naomba kupata uzoefu kdg.Aina na gharama ya mashine nzuri za kufyatulia, maeneo mazuri ya kufungulia biashara hiyo,usimamizi wake ukoje,faida na hasara zake,pamoja na changamoto nyingine zinazoambatana na biashara hiyo.
Nashukuruni sana
Kwani huko hawajengi?hii biashara imeshajaa kila kona ya jiji na watu wenye mitaji mikubwa..
utajikuta uko bihawana na kigwe huko..