Ng'wanambula
Senior Member
- Oct 2, 2011
- 197
- 54
Nataka kujiunga na Chadema ili kukipanua chama hiki.Nimeisoma katiba ya Chadema, CUF na NCCR, lakini nimeona Chadema ni bora zaidi.Nimejaribu kuwasiliana na watu kama Zitto Kabwe bila mafanikio.
Baada ya hapo natarajia kugombea Ubunge 2015 pale Bariadi maana kwa muda mrefu chama kimekuwa hakina wagombea makini pale.Elimu yangu ni ya shahada ya uzamili (Masters)
nataka kujiunga na chadema ili kukipanua chama hiki.nimeisoma katiba ya chadema, cuf na nccr, lakini nimeona chadema ni bora zaidi.nimejaribu kuwasiliana na watu kama zitto kabwe bila mafanikio.
Baada ya hapo natarajia kugombea ubunge 2015 pale bariadi maana kwa muda mrefu chama kimekuwa hakina wagombea makini pale.elimu yangu ni ya shahada ya uzamili (masters)
sasa hiyo masters(sijui ya kitu gani vile!) unashindwa kuitumia hata kujua uingie jukwaa gani?
sasa wagombea makini kati yako na hao waliotangulia ni nani!?
Nataka kujiunga na Chadema ili kukipanua chama hiki.Nimeisoma katiba ya Chadema, CUF na NCCR, lakini nimeona Chadema ni bora zaidi.Nimejaribu kuwasiliana na watu kama Zitto Kabwe bila mafanikio.
Baada ya hapo natarajia kugombea Ubunge 2015 pale Bariadi maana kwa muda mrefu chama kimekuwa hakina wagombea makini pale.Elimu yangu ni ya shahada ya uzamili (Masters)
Unapotaka kuanza safari yeyote ile kuna mawili yatakayotokea. Wa2 wanaweza wakakuunga mkono mwanzo af baadae ukifanikiwa wataanza kutafuta njia za kukurudisha nyuma. Au wakakukatisha tamaa mwanzon af baadae ukifanikiwa ndo waanze kujipendekeza kwako. Ucfe moyo wala ucjali wanaongea nin kwa sasa. Coz wengne wanaropoka 2 bila logic ilimradi waonekane wameongea. Jipange sawasawa jaribu kuwaona wa2 wa chadema ngaz ya wilaya watakuelekeza cha kufanya. Nakutakia mafanikio mema.
Bebe Ng'wanambula utanilwe nanani ebaryadi??, Nani amekuita??. Na kwamba unataka kugombea ubunge 2015??, sio ungekuwa na akili kwanza ya kuingia kwenye chama, ujaribu kukikulia chama, ukue kisera sio unaenda Chadema just kwa sababu 2015 unataka kugombea, hyo sio sababu na namna hyo huwezi kuwapata watu prominent kwenye chama, elimu yako ingekusaidia namna hata ya kuingia, kengele umepiga vibaya rudi pata kadi kisha sasa ufanye kazi na chama kikuelewe, kwani unazani 2010 Chadema hakikuwa na watu pale Igunga,? walikuwepo lakini bado walikuwa hawako sawia, si umeona mwenyewe hii juzi tayari sasa kuna mtu pale, rudi pata kadi kaa kwenye chama chapa kazi 2015 itakuwa njema kwako.Nataka kujiunga na Chadema ili kukipanua chama hiki.Nimeisoma katiba ya Chadema, CUF na NCCR, lakini nimeona Chadema ni bora zaidi.Nimejaribu kuwasiliana na watu kama Zitto Kabwe bila mafanikio.
Baada ya hapo natarajia kugombea Ubunge 2015 pale Bariadi maana kwa muda mrefu chama kimekuwa hakina wagombea makini pale.Elimu yangu ni ya shahada ya uzamili (Masters)
kwanza umeingia sehemu sio ndomana wamekuona sio wakakupotezea,pili kutokana na elimu uliyonayo umeshindwa kuelewa sehenu ya kuweka hii post?hauko sirias,tatu wewe unatakiwa uombe na ulekezwe jinsi ya kutaka kujiunga chadema sio kung'anga'na na namba ya zito, hakushauri mtu kajipange ama sivyo endelea kutumbua mimachoShida yako ni kujua hii master niliyonayo ni ya kitu gani au what is your concern?I think my area of specialization has nothing to do with politics,what is important,in my opinion,is the level of education I have.Hebu wana JF nishaurini