Nataka kujiunga chadema ili nigombee ubunge 2015

iko poa ila sera unazo kaka?
 
level yako ya elimu ni sawa na wala haina haja ya kuelezea ni ya nn hiyo degree yako ya uzamili.tatito mbona unauhitaji sana na namba ya zito kwani hujui wenye chama kile kama ni chama cha wachaga so zito sidhani kama ni msaada kwako alafu ww unaonekana una uchu wa madaraka si kwamba sera ya chadema imekuvutia sababu ni umeona vijana wamepata shavu kirahisi hapo chadema sidhani kama itakua hivyo pia uchaguzi ujao.you need to have your plan B.Then nxt time peleke hii thread sehemu husika.hii ni kona ya job seekers n those who seeks for good pastures.mtazamo tu
 
Ndugu ingia facebook tafuta viongozi au hata wabunge wa cdm utawapata mule.au njoo kwenye jukwaa la siasa kuna watu watakusaidia.fanya hivyo.
 

Karibu sana kwenye chama,kwa kuwa bado hujajiunga na chama,maeneo unayoishi,tafuta uongozi wa CDM Kata ili uweze kujipatia kadi unahitajika tu kuwa na picha (passport Size) na shilingi elfu na mia tano ambayo ni kiingilio pamoja na ada.
baada ya hapo uwe karibu na uongozi wa eneo lako unaloishi hadi ngazi ya wilaya ili uweze kujijenga na kuelewa zaidi kuhusu CDM.
Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…