Nataka kujiunga chuo cha ualimu

With that pass rafiki kimbilia Mwenge chuo cha Ualimu ngazi ya degree kipo Moshi. Au omba degree chuo chochote mwakani na TCU.
 
Walimu SIYO fani yawaliofeli. Hebu cheki upolisi
 
dip ya ualim unapata vizuri sana,,,ila nakushauri nenda kilimo na mifugo kwa future yako
 
Kasomee mambo ya mifugo na kilimo kwanza.
 
kwa pass zako chuo kikuu unapata kabisa, sikushauri ufikirie diploma apply chuo kikuu mwakani kwa kupitia tcu ukapate degree yako.

Nb. Anza kudunduliza ada mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…