Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Oct 21, 2025 #21 Troll JF said: Kutoka moyoni kabisa nataka kujiunga na CHADEMA process zake zikoje? Natamani kuungana na makamanda katika harakati za kuiondoa CCM. Nisaidieni makamanda na pia mniunge kwenye group la makamanda. Click to expand... Kwa akili hizi, hufai kuwa chadema. Yn hujui process za kujiunga chadema?
Troll JF said: Kutoka moyoni kabisa nataka kujiunga na CHADEMA process zake zikoje? Natamani kuungana na makamanda katika harakati za kuiondoa CCM. Nisaidieni makamanda na pia mniunge kwenye group la makamanda. Click to expand... Kwa akili hizi, hufai kuwa chadema. Yn hujui process za kujiunga chadema?