BlackGold_
Member
- May 31, 2013
- 94
- 27
Mkuu hii ninapokupa inakuwa imejumuisha gharama zote including usafiri kwa maana kuwa mimi nitasubiri mzigo kwenye duka langu?5500/- Tshs.
Kuanzia kilo 200.Unaanzia kg ngapi kuuza kwa hiyo bei ya 5500 hapo shekilango na nikwa bei ya sangara na sato wote bei moja
Sato nayo ni kwa 5500?Mzigo naleta mpaka pale Shekilango!!
Kama Upo Dar.
Maeneo mengine, tutaongea!!
Hapana, Sato sio bei hiyo,Sato nayo ni kwa 5500?
VP kuhusu dagaa wa Mwanza unadeal nao nahitajiMzigo naleta mpaka pale Shekilango!!
Kama Upo Dar.
Maeneo mengine, tutaongea!!
Kama siyo bei hiyo ni shingi ngapiHapana, Sato sio bei hiyo,