Nataka kujua bei ya RCD / MCB switch, 16A, 2-pole, 0.03, LEGRAND Lexic

Nataka kujua bei ya RCD / MCB switch, 16A, 2-pole, 0.03, LEGRAND Lexic

Miunda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
530
Reaction score
182
Nataka kujua bei halisi ya MCC switch kama hio au similar kama hii.
 

Attachments

  • 1430166582842.jpg
    1430166582842.jpg
    7.7 KB · Views: 122
  • 1430166593182.jpg
    1430166593182.jpg
    7.3 KB · Views: 67
ziko za aina mbalimbali kutegemea na kampuni mfano siemens ni bei kubwa kidogo ila ni imara lakini sidhani kama itazidi
laki na nusu
 
Hio ni legrand, nimenunua UK, ninazo pieces nyingi sana, nataka kuziuza, new ndani ya boxes, lakini kabla ya hapo nataka kujua bei yake dukani, ili niweze kuuza bei ya chini kwa haraka sana
 
1430719411848.jpg
 

Attachments

  • 1430719444684.jpg
    1430719444684.jpg
    37.6 KB · Views: 45
  • 1430719469687.jpg
    1430719469687.jpg
    31.6 KB · Views: 48
Back
Top Bottom