Miunda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 530 Reaction score 182 Apr 27, 2015 #1 Nataka kujua bei halisi ya MCC switch kama hio au similar kama hii. Attachments 1430166582842.jpg 7.7 KB · Views: 122 1430166593182.jpg 7.3 KB · Views: 67
P political Engineer 2 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 295 Reaction score 792 Apr 28, 2015 #2 ziko za aina mbalimbali kutegemea na kampuni mfano siemens ni bei kubwa kidogo ila ni imara lakini sidhani kama itazidi laki na nusu
ziko za aina mbalimbali kutegemea na kampuni mfano siemens ni bei kubwa kidogo ila ni imara lakini sidhani kama itazidi laki na nusu
Miunda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 530 Reaction score 182 May 4, 2015 Thread starter #3 Hio ni legrand, nimenunua UK, ninazo pieces nyingi sana, nataka kuziuza, new ndani ya boxes, lakini kabla ya hapo nataka kujua bei yake dukani, ili niweze kuuza bei ya chini kwa haraka sana
Hio ni legrand, nimenunua UK, ninazo pieces nyingi sana, nataka kuziuza, new ndani ya boxes, lakini kabla ya hapo nataka kujua bei yake dukani, ili niweze kuuza bei ya chini kwa haraka sana
Miunda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 530 Reaction score 182 May 4, 2015 Thread starter #4 Attachments 1430719444684.jpg 37.6 KB · Views: 45 1430719469687.jpg 31.6 KB · Views: 48