Nataka kujua bei za bati ya alaf kwa kiwandan

nataka kujua bei ya mabati ya alafu
Alaf kama wewe siyo wakala bei za kiwandani /godown ziko juu kuliko bei za rejareja huku mitaani. Tafuta tuu wakala kama idadi unayohitaji ni kubwa atakupa unafuu fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…