Mwalimu Ntuntu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 308
- 285
Ohoooooo!!! Nimejua sijui aiseeee!!!Mpanda ipo mkoa wa Katavi haipo Rukwa kwa sasa
Huko kilimo ndiyo sehemu yake haswaa, ila ukiwapata wajuvi watakupa mengine mengi.Ohoooooo!!! Nimejua sijui aiseeee!!!
Ahsante Mkuu.Huko kilimo ndiyo sehemu yake haswaa, ila ukiwapata wajuvi watakupa mengine mengi.
Hata fursa za utalii hazipo sana japo kuna hifadhi wanyamaAhsante Mkuu.
Kalambo ni Sumbawanga Rukwa hukoJenga hoteli kwenye maporomoko ya Kalambo
Kalambo iko mkoa tofauti na MpandaJenga hoteli kwenye maporomoko ya Kalambo
Kama mliambiwa tafuta elimu hadi China, wewe unashindwa nini kwenda kutafuta vyanzo vya uwekezaji hadi Rukwa?Kalambo ni Sumbawanga Rukwa huko
Huyu kauliza Mpanda!Kama mliambiwa tafuta elimu hadi China, wewe unashindwa nini kwenda kutafuta vyanzo vya uwekezaji hadi Rukwa?
Maporomoko ya Nkondwe ndiyo yako Katavi, kwenye msitu wa hifadhi wa Tongwe....Kalambo ni Sumbawanga Rukwa huko
Mkuu naomba uni PMMpanda fursa ni kilimo na biashara za maduka ya mazagazaga yaani bidhaa mchanganyiko na maduka ya madawa kwenye vijiji vyake, maeneo ya kilimo ni mengi bei bado ni ndogo ila ya kulimia mpunga bei iko juu, ukitaka kuifaidi katavi njoo na ubunifu mzuri utapiga hela sana maana huku elimu bado sana na watu wengi hawana elimu.
Karibu sana Katavi