Anithape
Senior Member
- Nov 14, 2018
- 131
- 136
Gharama za kuingiza kichwa cha semi trela zinapatikana mtandaoni.
Sasa naomba kujua gharama za kuingiza trailer (maana hizi hazipo kwenye kikokotozi cha TRA)
Naomba kujua gharama za kuingiza Tanzania kupitia bandari ya DSM.
1. Flatbed trailer
2. Low loader trailer
3. Skeletal trailer
Shukran kwa msaada